Rais wa Urusi Vladimir Putin ameonya kuwa wanajeshi kutoka nchi Magharibi watakaotumwa Ukraine watakuwa shabaha halali ya kushambuliwa na Urusi. Hii inakuja baada ya Ufaransa kusema washirika 26 wa nchi za Magharibi watatuma wanajeshi Ukraine  kama sehemu ya dhamana za usalama iwapo makubaliano ya kusitisha mapigano yatapatikana.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw 
                                                            
        
  
            
            
	
                                            
                









                        
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!