
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu akipokea nakala tepe ya daftari la kudumu la wapigakura kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Rufani Jacobs Mwambegele kwenye kikao cha Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na viongozi wakuu wa vyama vinavyoshiriki uchaguzi mkuu 2025 iliyofanyika katika Ukumbi wa Hazina Dodoma tarehe 27 Julai 2025.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!