

Dar es Salaam 30 Juni 2025: Mwanasiasa kijana ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Kalulu Burchard amechukua fomu kuomba ridhaa ya chama chake kumchagua kuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Mbagala.
Kalulu ambaye anajitanabaisha kuwa ni msomi mwenye uwezo wa kutatua changamoto za kijamii amesema kuwa atawatumikia wananchi na chama chake kwa moyo wake wote. HABARI/PICHA NA ISSA MNALLY/ GPL
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!