Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mama Ajifungua Watoto 3, Baba Amwaga Machozi Aomba Msaada – Video

  • 34
Scroll Down To Discover


Familia ya kijana Mbwanyi Mzeendege, ilipata baraka ya aina yake baada ya mkewe kujifungua watoto pacha watatu!

Hata hivyo, baraka hiyo imegeuka mateso makubwa kutokana na hali duni ya kimaisha iliyosababisha familia ishindwe kuwalea watoto hao na kusababisha wawe wanapata maradhi mara kwa mara na kutishia uhai wao.

Global TV imefika Mbagala Kingugi inakoishi familia hiyo ambayo imewaangukia Watanzania kuwasaidia watoto hao ili wapate matibabu na mahitaji mengine muhimu.

Video kamili ipo Youtube, Global TV!

Kama umeguswa, unaweza kutuma mchango wako kupitia namba: 0697047943 (Mbwanyi Mzeendege).

Stori na Imelda Mtema, GPL



Prev Post Rais Mstaafu Wa Zambia, Edgar Lungu Afariki Dunia
Next Post Sheikh Ponda Ajiunga na ACT Wazalendo – (Picha +Video)
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook