MAGAZETI ya Leo Jumapili 11 May 2025
Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) ambaye pia ni Rais wa Makampuni ya GSM katika mahojiano maalum na Mtangazaji Salama Jabir, amesema moja ya mbinu zake za kufanikiwa ni kutokuogopa kuwekeza sehemu ambazo wengine wameziogopa.
Alipoulizwa kuwa yeye ni Boss wa aina gani, Ghalib ameleza yafuatayo “mimi ni Mtu ambaye na-take risk, ninajaribu biashara ambayo nikiona naweza kufanikiwa naingia tofauti na Watu wengi ambao wanaogopa kuingia kwenye biashara”
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!