Shirika la kutetea haki za kibinadamu la Amnesty International limeishutumu serikali ya Tanzania kwa kushindwa kuwawajibisha waliohusika na vifo vya waandamanaji kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka jana.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw










Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!