Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mahakama Yakataa Maombi ya Kuizuia Chadema Kufanya Shughuli za Kisiasa

  • 1
Scroll Down To Discover

Maombi ya kutaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kizuiwe kufanya shughuli za kisiasa nchini yamekataliwa na Mahakama Kuu ya Tanzania hivyo chama hicho kitaendelea na shughuli zake za kisiasa kama kawaida.

Katika uamuzi uliotolewa leo, Oktoba 22, 2026, na Jaji Awamu Mbagwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, Mahakama imesema haioni sababu za msingi za kukizuia chama hicho kuendelea na shughuli zake za kisiasa.

The post Mahakama Yakataa Maombi ya Kuizuia Chadema Kufanya Shughuli za Kisiasa appeared first on Global Publishers.



Prev Post Tundu Lissu Akosa Tuzo Ya Sakharov, ICC Yatangazwa Mshindi
Next Post Fahamu Maajabu Ya Gereza La Fort Boyard, Ngome Iliyojengwa Katikati Ya Bahari
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook