Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Video: Chalamila Aagiza Uzio wa Ghorofa Masaki Ubomolewe Papohapo

  • 10
Scroll Down To Discover

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, leo Agosti 6, 2026, ameagiza kubomolewa mara moja kwa uzio uliokuwa umezunguuka eneo la ujenzi wa ghorofa huko Masaki, jijini Dar es Salaam.

Hatua hiyo imekuja baada ya kubainika kuwa uzio huo umejengwa ndani ya hifadhi ya barabara ya Toure Drive, kinyume na sheria na kanuni za mipango miji.

Chalamila ametoa maagizo hayo wakati wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo na hali ya ujenzi katika maeneo ya Masaki.

Amesisitiza umuhimu wa kuzingatia sheria na kanuni za mipango miji ili kuepusha ujenzi holela

The post Video: Chalamila Aagiza Uzio wa Ghorofa Masaki Ubomolewe Papohapo appeared first on Global Publishers.



Prev Post Safari ya Afrika Yaanza: Simba na Yanga Wapangiwa Wapinzani CAFCL
Next Post Taharuki Yatanda Mwenge Baada ya Boksi Lisilojulikana Kukutwa Kituo cha Mabasi – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook