
Sikiliza ushuhuda wa Mbanguji Paul kutoka Buchosa, ambaye kwa takribani miaka 8 aliteseka na tatizo la jicho. Kupitia msaada wa Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, hatimaye alipata matibabu na kurejesha matumaini yake.
Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!