Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mama Alia Mbele ya Waziri Mkuu Akidai Mwanaye Kuchukuliwa na Wanaojiita Polisi – Video

  • 8
Scroll Down To Discover

Kumetokea tukio la kusikitisha ambapo mama mmoja ameonekana akiomba msaada mbele ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, akidai kuwa mwanaye alichukuliwa kienyeji na watu waliojitambulisha kuwa ni maafisa wa polisi.

Mama huyo ameonekana akieleza kwa uchungu mkubwa tukio hilo, akitaka mamlaka husika kulifuatilia na kumpatia haki kuhusu kilichotokea kwa mtoto wake.

Tukio hilo limeibua hisia kali miongoni mwa wananchi waliokuwepo, huku likizidi kuibua mjadala kuhusu usalama na utaratibu wa utekelezaji wa majukumu ya vyombo vya dola.

The post Mama Alia Mbele ya Waziri Mkuu Akidai Mwanaye Kuchukuliwa na Wanaojiita Polisi – Video appeared first on Global Publishers.



Prev Post Wanafunzi 246,197 Waliopangiwa Kujiunga Kidato Cha Tano Wapaswa Kuripoti Shuleni
Next Post Kuwait Yalaani Mashambulizi ya Iran, Saudi Arabia na UAE Watoa Tamko
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook