Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Xi atoa wito, China na Marekani kuwa washirika badala ya wapinzani. Katika Dira ya Dunia TV

  • 15
Scroll Down To Discover

Rais wa Marekani Donald Trump na mwenzake wa China Xi Jinping wamefanya mazungumzo yenye umuhimu mkubwa mjini Beijing. Viongozi hao wawili walizungumzia vita vya Marekani na Iran na wakakubaliana kwamba Iran haipaswi kamwe kuwa na silaha za nyuklia na kwamba Mlango wa Bahari wa Hormuz lazima ufunguliwe. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post BAO LA DABI LAMFUNGULIA CHAMA MILANGO YA URAIA TANZANIA
Next Post Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 14/05/2026
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook