Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mwili wa James Temba Kusafirishwa Kwenda Moshi kwa Mazishi – Video

  • 12
Scroll Down To Discover

Baba wa kijana James Temba ambaye inadaiwa aliuawa kisha mwili wake kukatwa kichwa, amesema mwili wa marehemu mwanaye utasafirishwa kwenda Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi.

Akizungumza na Global TV, Temba ameeleza kuwa mambo yakienda sawa, Jumatano Mei 6, 2026 mwili utapelekwa katika Kanisa la KKKT Tabata kwa ajili ya ibada ya kuaga kisha utasafirishwa kwenda Moshi.

Mwili wa James ulikutwa kwenye Mto Msimbazi, eneo la Kipawa, Ilala jijini Dar es Salaam ukiwa umekatwa kichwa, tukio lililoibua simanzi kubwa.

Video kamili ipo Youtube, Global TV.

🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.

The post Mwili wa James Temba Kusafirishwa Kwenda Moshi kwa Mazishi – Video appeared first on Global Publishers.



Prev Post Matangazo ya Dira ya Dunia Redio 05/05/2026
Next Post Hotuba ya Ruto Yazua Gumzo: Atoa Ujumbe Mzito kwa Watanzania na Wakenya – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook