Nchi 32 wanachama wa Shirika la Kimataifa la nishati IEA zimekubali kutoa akiba zao za mafuta, hiki kikiwa ni kiwango kikubwa zaidi kuwahi kutolewa - katika juhudi za kutuliza hali ya uchumi duniani huku vita kati ya Marekani Israel na Iran vikiendelea.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw






Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!