Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

DRC na M23 wataheshimu usitishaji mpya wa mapigano? Katika Dira ya Dunia TV

  • 25
Scroll Down To Discover

Pendekezo la usitishaji mapigano lililoratibiwa na Angola kati ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na kundi la waasi la M23 linaloungwa mkono na Rwanda linatarajiwa kuanza kutekelezwa leo Jumatano katika eneo la mashariki mwa DRC lililokumbwa na mzozo. Angola, ambayo kwa muda mrefu imekuwa mpatanishi kati ya Rwanda na Congo, inazihimiza pande zote kuheshimu makubaliano hayo ya kusitisha mapigano. Siku ya Ijumaa, serikali ya Congo na waasi wa M23 walikubali kuheshimu usitishaji mapigano uliotangazwa na Rais João Lourenço wa Angola mapema wiki hii. Hata hivyo, hakuna upande uliothibitishia BBC kwamba mapigano yamesitishwa moja kwa moja kwenye uwanja wa vita. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post ELIMU YA KODI NA USAJILI WA BIASHARA YAWANUFAISHA WAFANYABIASHARA NUKOBA
Next Post Mfanyabiashara Aliyepotea Arusha Apatikana Akiwa Amefariki Kondoa – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook