Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mkutano wa Trump na Netanyahu utafaulu? Katika Dira ya Dunia TV

  • 32
Scroll Down To Discover

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amekutana na Rais wa Marekani Donald Trump katika Ikulu ya Marekani. Netanyahu anatarajiwa kumshawishi Trump kuendeleza makubaliano yatakayositisha uboreshaji wa uranium nchini Iran, na pia kudhibiti hatua yake ya kuunga mkono makundi ya wapiganaji kama Hamas na Hezbollah. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post KIBU AAGA RASMI SIMBA, RASMI ATIMKIA LIBYA
Next Post Rais Mnangagwa Apendekezewa Mfumo Mpya wa Uchaguzi Kupitia Bunge
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook