MAGAZETI ya Leo Jumamosi 26 April 2025
Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini imetinga fainali Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuiondosha Al Ahly ya Misri kwa sare ya bao 1-1 ugenini.
Mamelodi imejikatia tiketi kwa kwa faida ya bao la ugenini kwani mechi ya kwanza Afrika Kusini ilimalizika kwa suluhu.
Mamelodi Sasa itakutana na Pyramid ya Misri katika mchezo wa Fainali ya CAF Champions League 2024/2025.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!