

Wabunge wameapishwa leo Novemba 11, 2025, katika Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu, kilichofanyika Jijini Dodoma.
Hafla hiyo ya kiapo imefanyika baada ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ambapo wabunge walioteuliwa na kuchaguliwa wameapishwa rasmi kabla ya kuanza shughuli za Bunge jipya.
Baada ya uapisho huo, shughuli zilizofuata ni uchaguzi wa Spika na Naibu Spika, ambapo wabunge wote wapya walishiriki kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Bunge.














Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!