Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 12 April 2025

  • 10
Scroll Down To Discover

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 12 April 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Jezi ya Manchester United

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Jezi ya Manchester United

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Jezi ya Timu ya mpira wa Miguu ya Manchester United ya Uingereza iliyosainiwa na Wachezaji wa Timu hiyo kutoka kwa Mmiliki wa Klabu hiyo Sir Jim Ratcliffe, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Aprili, 2025.

Mmiliki wa Klabu hiyo Sir Jim Ratcliffe ameeleza dhamira yake ya kuitumia Klabu yake kutangaza utalii nchini Tanzania.

Rais Dkt. Samia pia amemkaribisha Mmiliki huyo wa Club ya Manchester kuanzisha Vituo vya Mafunzo ya Michezo (Sports Academy) hapa nchini.



Prev Post Makalla Avalia Njuga Changamoto za Barabara,Wanyamapori na Umeme Liwale
Next Post MERIDIANBET KASINO SLOTI YA BOOK OF ESKIMO.
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook