Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Hakuna Kitu Kinachohitaji Ulinzi wa Kila Aina Kama Biashara Yako Unayoitegemea

  • 11
Scroll Down To Discover

Kwa miaka mingi nimekuwa nikifanya biashara maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam, nashukuru kipato ambacho nimekuwa nikipata kinaniwezesha kumudu gharama za maisha ya kila siku.

Naweza kuitunza familia vizuri, kusomesha watoto  wangu, kuwasaidia wazazi wangu na kufanya mambo mengine ya kimaendeleo kama kujenga na kununua mashamba kwa ajili ya uwekezaji wa hapo baadaye.

Jina langu ni Buna, sasa ni miaka saba nafanya biashara lakini haijawahi kuwa rahisi hata mara moja kwani changamoto ambazo nimekuwa nikikumbana nazo ni nyingi sana hadi kuna wakati ulifikia nikaanza kukataa tamaa.

Hiyo ilikuwa ni pale ambapo wateja walinikimbia licha ya kuwa na bidhaa nzuri na zaidi nilikuwa tayari najulikana na watu wengi lakini wote wakawa hawanunui tena kwangu bali kwa wafanyabiashara wenzangu wa jirani.

Suala hilo lilinifanya nianze kufikiriki kuna mchezo umefanyika dhidi ya biashara yangu maana nilikuwa sijaiwekea kinga licha ya kusikia watu wakisema biashara lazima iwekewe kinga.

Nilianza kumtafuta mtaalamu ambaye anaweza kutoa kinga ya kuaminika dhidi biashara yangu, nilitafuta kwa muda bila mafanikio hadi pale nilifanikiwa kuipata namba ya Kiwanga Doctors  katika mtandao wa kijamii wa Facebook.

Hatimaye nilimpigia Kiwanga Doctors  na kumuelezea kuwa biashara yangu imevamiwa na inahitaji ulinzi wa mara moja kwani wateja wangu wamekimbia wote. Nashukuru Kiwanga Doctors  alinielewa na kunifanyia tiba na kuniambia ndani ya siku tatu nitapata majibu ya jambo hilo.

Ukweli ndani ya siku tatu wateja walianza kuja kwenye biashara yangu kama ilivyokuwa hapo awali, cha kushangaza zaidi ni kwamba niliiuza hadi nikawa naishiwa na bidhaa, hivyo  ikabidi nianza kutafuta mtaji mwingine wa kuongeza bidhaa. Nilichokuja kugundua ni kwamba Kiwanga Doctors aliniongezea na mvuto wa kibiashara pia.

Ikiwa unapitia kitu kama hicho, ninakushauri kuwa fika au wasiliana na Kiwanga Doctors. Tiba zao zinafanya kazi haraka na wanaweza kukusaidia katika changamoto mbalimbali za kimaisha, kuanzia masuala ya uhusiano hadi matatizo ya kiafya.

Basi chukua hatua muhimu leo hii kwa kuwasiliana na Kiwanga Doctors kupitia namba +255618536050 au tembelea tovuti yao, kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi katika eneo zima la Afrika Mashariki na Kati.



Prev Post Jela Miaka 30 Kwa Kumbaka Kiziwi Wilaya ya Kwimba, Mwanza
Next Post Rais Dkt. Samia Ahutubia Bunge la Jamhuri ya Angola Jijini Luanda -Picha
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook