MAGAZETI ya Leo Jumatano 09 April 2025
Kiungo wa Klabu ya Yanga, Khalid Aucho atakuwa nje ya uwanja kwa takriban wiki tatu baada ya kupata Majeraha kwenye nyama za paja.
Kiungo huyo amefanyiwa vipimo Leo ambapo imegundulika atakuwa nje kwa wiki tatu, kwa mujibu wa taarifa ambayo iliyotolewa na Klabu ya Yanga.
Aucho aliumia kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union ambapo nafasi yake ilichukuliwa na Mudathir Yahya.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!