Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Filamu Ya ‘Spider-Man: Brand New Day’ Kutoka Julai 31, 2026.

  • 10
Scroll Down To Discover

Muigizaji Tom Holland Ameripotiwa Kurudi Tena Katika Muendelezo Wa Filamu Za Spider-Man, Na Sasa Atakuwepo Kwenye Filamu Mpya Ya ‘Spider-Man: Brand New Day’ Ambayo Ilitangazwa Kupitia CinemaCom, Jana Huko Las Vegas, MarekaniNa Inatarajiwa Kwenye Kuingia Sokoni Julai 31 Mwakani 2026.

Muongozaji Destin Daniel Cretton Alitoa Taarifa Hiyo jana Wakati Wa Tukio Hilo Kubwa La ‘CinemaCom’ Linalowakutanisha Waigizaji, Waandaji Wa Filamu Pamoja Na Makampuni Makubwa Ya Filamu Kwa Ajili Ya Kuweka Wazi Filamu Zao Ambazo Wamekuwa Wakiziandaa Kwa Ajili Ya Siku Za Mbeleni.

The post Filamu Ya ‘Spider-Man: Brand New Day’ Kutoka Julai 31, 2026. appeared first on Wasafi Media.



Prev Post Lil Wayne Atangaza Tarehe Ya Kuachia Album Yake Mpya ‘The Carter Vi’
Next Post Filamu Ya ‘John Wick 5’ Ipo Kwenye Maandalizi, Keanu Reeves Kurudi Tena!.
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook