Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Waziri Mkuu Ashiriki Maadhimisho Ya Kumbukumbu Ya Miaka 53 Ya Kifo Cha Karume

  • 9
Scroll Down To Discover

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Aprili 7, 2025 ameshiriki Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Miaka 53 ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume kwenye Afisi Kuu ya CCM Kisiwandua Zanzibar.

Viongozi wengine aliohudhuria ni pamoja na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Stephen Wasira, Mjane wa Hayati Karume, Mama Futuma Karume, Watoto ya Hayati Karume, Amani Abedi Karume na Balozi, Ali Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Zanzibar, Ali Mohamed Shein.



Prev Post Jeshi la Somalia laua magaidi 80 wa Al Shabab
Next Post Bunge la Bajeti Kuanza Kuunguruma kesho Jumanne, April 8, 2025
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook