Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

JENISTA MUHAGAMA AKIJUMUIKA NA WANA PERAMIHO

  • 3
Scroll Down To Discover

Mgombea Ubunge katika Jimbo la Peramiho Jenista Mhagama Septemba 27, 2025 akiwa anacheza ngoma ya Kioda katika Kijiji cha Serakano Kata ya Liganga Wilaya ya Songea Vijijini. Jenista Mhagama anafanya kampeni za kunadi sera za Chama Cha Mapinduzi CCM kupitia Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2025 -2030 kwenye kila Kijiji ndani ya Jimbo la Peramiho na kuomba ridhaa ya CCM kuendelea kuiongoza Serikali katika kipindi cha miaka mitano 2025-2030.



Prev Post Rais Samia ampongeza Simbu kwa ushindi wa Dunia, Amkabidhi Nyumba jijini Dodoma
Next Post Tuzo za Serengeti Awards Kufanyika Disemba 19 jijini Arusha
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook