Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MERIDIANBET YAZINDUA SUPER HELI, PAA JUU, SHINDA SIMU MPYA KILA WIKI….

  • 47
Scroll Down To Discover

Ni msimu wa ushindi, Meridianbet imezindua rasmi promosheni mpya kutoka Super Heli, mchezo wa kasino ya mtandaoni unaokupeleka angani kwa msisimko wa kipekee na kwa promosheni hii mpya mchezo huu unakurejesha na zawadi kabambe kabisa, simu janja ya Samsung Galaxy A25.

Ikiwa ni toleo lililoboreshwa kwa ubunifu na muonekano wa kisasa, Super Heli huleta mandhari yanayofanana na mchezo maarufu wa Aviator, lakini kwa ladha mpya ya kusisimua zaidi. Badala ya ndege, huku unapaa na helikopta wakati huo ukikusanya bonasi na ushindi mkubwa kila unapozidi kukaa angani.

Kuanzia 1 Agosti hadi 31 Agosti, Meridianbet inakuletea promosheni ya kipekee ambapo kila Jumatatu, wachezaji wawili watajishindia simu mpya kabisa. Ndio, kila wiki kuna zawadi mpya na huenda wiki ijayo ikawa yako

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Cheza Super Heli kutoka Meridianbet kwani huku ushindi ni halisi maana kadri unavyobaki angani ndivyo ushindi unavyoongezeka, fursa za bonasi kila unapocheza ni za uhakika, vilevile hakuna kiwango cha dau cha kuanzia bali unacheza kwa dau lolote huku nafasi ya kushinda ikiwa sawa kwa kila mchezaji na burudani isiyoisha.

Super Heli imeweka wepesi mkubwa sana wa kushiriki kwani unachotakiwa kukifanya ni kutembelea meridianbet.com au kupakua app ya Meridianbet, fungua akaunti au ingia kama tayari unayo, cheza Super Heli mara nyingi kadri uwezavyo na usubiri tangazo la washindi kila Jumatatu, simu mpya inaweza kuwa yako.

Usikubali nafasi hii ikupite, ni fursa halisi ya kumiliki Samsung Galaxy A25 bila kutumia fedha yako. Weka dau, paa na helikopta, kisha shusha zawadi ya nguvu kutoka Meridianbet. Jisajili sasa, cheza Super Heli, na shinda bila kikomo.

 

 

The post MERIDIANBET YAZINDUA SUPER HELI, PAA JUU, SHINDA SIMU MPYA KILA WIKI…. appeared first on Soka La Bongo.



Prev Post NAFASI YA KUSHINDA UNAYO MERIDIANBET LEO…
Next Post ZOMBIE APOCALYPSE, DILI LA KIHISTORIA KUTOKA MERIDIANBET NA EXPANSE STUDIOS….
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook