Rais wa mamlaka ya Palestina, Mahmoud Abbas, amehutubia Umoja wa Mataifa leo kwa njia ya video – baada ya utawala wa Rais Donald Trump kumkatalia visa ya kuingia Marekani. Abbas amesisitiza kuwa yuko tayari kushirikiana na Marekani na mataifa mengine kutekeleza mpango wa amani – lakini ameishutumu serikali ya Israel kwa kutekeleza uhalifu wa kivita.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!