
Mwezi wa 12 wa mwaka huu unakuja kijanja kwani Meridianbet inatarajia kukupatia mkwanja wa maana endapo utaweza usuka jamvi lako la uhakika hapa. Nani kuongoza ligi siku hiyo ya Christmas?. Suka jamvi lako sasa.
Tarehe 25 Desemba bingwa mtetezi wa Ligi yaani Liverpool anapewa nafasi kubwa ya kuongoza ligi akiwa na ODDS 3.00. Ikumbukwe kuwa Jogoo wa Anfield hadi sasa amefanya usajili wa wachezaji wakubwa kabisa akiwemo Frimpong, Wirtz, Ekitike na wengine kibao. Lakini pia haijawaacha wachezaji wao wengi kwenye dirisha hili kubwa la usajili ndio maana Meridianbet imempa nafasi kubwa ya kushinda. Je wewe beti yako utampa Liverpool?
Huku nafasi ya pili ya kuongoza ligi siku ya Christmas inaenda kwa vijana wa Arteta Arsenal ambao msimu uliopita walimaliza pili. Baada ya kukosa vikombe vyote msimu uliopita sasa safari hii The Gunners wamejipanga kubeba makombe yote kutokana na usajili ambao wameweza kufanya. Ujio wa Gyokeres, Zubimendi, Madueke na wengine utaenda kuleta chachu kikosini hapo. Je kwa ODDS ya 3.50 Arsenal mpaka Sikukuu ya Christmas watakuwa kileleni?. Tengeneza jamvi hapa.
Leo hii pesa ipo kubwa sana ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Manchester City chini ya Pep Guardiola wao wanapewa nafasi ya 3 kuongoza ligi siku ya Christmas ambapo chaguo hili unalikuta Meridianbet kwenye “OUTRIGHTS” na City wamepewa ODDS 4.30 hadi sasa. Licha ya kupitia hali ngumu karibia mwishoni mwa msimu timu hii yenye makombe 6 chini ya Guardiola msimu huu wanahitaji kuchukua ubingwa. Je wataweza?. Tengeneza jamvi lako hapa sasa.
Halikadhalika Meridianbet inampa nafasi ya 4 klabu ya Chelsea, au The Blues kuwa juu ya msimamo wa ligi wakiwa na ODDS 7.95. Enzo Maresca ambaye ameweza kuchukua kombe la Dunia la vilabu sasa amefanya ongezeko la wacheza wazuri kwenye kikosi chake akitaka makombe zaidi. Ujio wa Joao Pedro, Gittens, Estavao na wengine ambao wanatarajia kuja kama vile Xavi Simons na Garnacho utakuwa ni chachu ya makombe. Je Chelsea inaweza kuwa kileleni siku ya Christmas?. Jisajili na ubashiri hapa.
Timu nyingine ambayo ipo kwenye mbio za kuwa kileleni kufikia Christmas ni Newcastle United ambao wapo chini ya kocha mkuu Eddie Howe. Timu hii msimu uliopita walimaliza nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi. Msimu huu inatarajiwa kuwa moja ya timu ambazo zitaenda kufanya vizuri. Newcastle nao wamefanya ongezeko la wachezaji Antony Elanga, Antonio Cordero huku wakitaka kufanya usajili wa wachezaji wengine kama Benjamin Sesko, na wengine. ODDS za kuwa juu ya msimamo siku ya Christmas kwa vijana hawa wa Eddie Howe ni 12.9. Suka jamvi hapa.
Manchester United pia ndio timu inayokamilisha top 6 ya timu ambazo zinapewa nafasi ya kuwa kileleni siku ya Christmas. Vijana hawa kutoka Old Trafford baada ya kuwa na msimu mbaya uliopita safari hii wamejipanga kufanya maajabu. Bado wapo kwenye dirisha la usajili huku wakiwaleta wacheza kama Cunha, Mbeumo na wengine wakitarajia kuja chini ya Amorim. Man United kumaliza nafasi ya juu siku ya Christmas wana ODDS 25.9. Bashiri sasa.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!