Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Chris Brown ashitakiwa kwa kumshambulia mtu kwenye klabu ya Usiku

  • 37
Scroll Down To Discover

Chris Brown Ameripotiwa Kukamatwa Akiwa Hotelini Jijini Manchester, Nchini Uingereza Baada Ya Maafisa Usalama Wa ‘Met’ Kubaini Kuwa Muimbaji Huyo Ametua Jijini Humo Kwa Ndege Binafsi (Private Jet).

Kukamatwa Kwake Ni Kufuatia Msala Alioufanya 2023 Nchini Humo Wa Kumpiga Na Chupa Ya Mvinyo Producer Wa London Aitwaye ‘Abe Diaw’ Hadi Kuzimia.

Chris Brown Hadi Sasa Yupo Kituo Cha Polisi Kwa Ajili Ya Mahojiano. Kumbuka Pia Mtayarishaji Huyo Alimfungulia Kesi Breezy Akidai Fidia Ya $16M (Tsh Bilioni 43.1/=) Kwa Kumsababishia Majeraha Na Hasara.

The post Chris Brown ashitakiwa kwa kumshambulia mtu kwenye klabu ya Usiku appeared first on Wasafi Media.



Prev Post Vodacom Digital Accelerator Yazindua msimu wa 4: Biashara bunifu 15 zateuliwa kushiriki Design Sprint
Next Post Nafasi 20 za Ajira Serikalini
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook