
Ndoa yangu ilikuwa karibu kuvunjika vipande vipande. Mume wangu alianza kubadilika ghafla simu yake ilikuwa daima kimya, alirudi nyumbani usiku sana, na mara nyingi alikuwa na hasira zisizoelezeka. Nilijaribu kuzungumza naye kwa upole, lakini kila mara alinikwepa au akageuza mazungumzo kuwa lawama kwangu.
Ndani ya moyo wangu nilihisi kuna jambo baya linaendelea. Niliishi kwa hofu na huzuni kila siku, nikijiuliza kama ndoa yangu ilikuwa inaelekea mwisho.
Siku moja nilipata uthibitisho wa hofu zangu niliona ujumbe kwenye simu yake kutoka kwa mwanamke mwingine. Nilihisi damu ikinikauka mwilini. Nilikaa kimya siku chache, lakini nilihisi kama nitapasuka. Nilipomkabili, alikataa kila kitu na kusema nina wivu kupita kiasi.SOMA ZAIDI…
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!