Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Alhaj Jabir Shrkimweri
wametembelea banda la Bodi ya Bima ya Amana katika Maonesho ya Kilimo, MIfugo na Uvuvi (Nanenane) yanayofanyika kitaifa katika viwanja vya Nzuguni, jijini Dodoma. Pichani, akikabidhiwa zawadi namachaoisho ya vipeperushi mbalimbali vinavyoelekea shughuli za bodi hiyo na maofisa wa DIB.
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akifurahia zawadi yake aliyekabidhiwa katika banda la DIB mara baada ya kutembelea banda la taasisi hiyo katika maonesho ya Manemane yanayofanyika kwenye viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe. Alhaj Jabir Shrkimweri akipokea zawadi kutoka kwa maofisa wa DIB wakati alipotembelea banda hilo pamoja na Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Semyamule.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!