Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Canada, Ufaransa na Uingereza kutambua Palestina kama taifa huru. Katika Dira ya Dunia TV

  • 54
Scroll Down To Discover

Mjumbe maalum wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati, Steve Witkoff, amekutana na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu,huku Marekani ikisema itaweka vikwazo kwa Mamlaka ya Palestina ambayo ilianzishwa kupitia makubaliano ya amani ya Oslo, na Shirika la Ukombozi wa Palestina (PLO) - ambalo lilitambuliwa kama mwakilishi rasmi wa watu wa Palestina, kwa kukataa kusitisha mapigano na kuitambua Israel.



Prev Post Mjumbe wa Marekani azuru Gaza huku maelfu wakiendelea kukabiliana na njaa. Katika Dira ya Dunia TV
Next Post CMSA Yajikita Kutoa Elimu Uwekezaji Soko la Mitaji
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook