
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango leo Julai 12, 2025 amefungua Mkutano wa Mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri, katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.
Mkutano huu unalenga kujadili utekelezaji wa majukumu ya sekta ya afya katika ngazi ya mikoa na halmashauri pamoja na kuweka mikakati ya kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi kote nchini.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!