

Mara baada ya ukimya wa muda mrefu, Freeman Mbowe — aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) — ameibukia kanisani kwa Mchungaji Kimaro katika Kanisa la KKKT Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo limetokea Jumapili, Julai 6, 2025, ambapo Mbowe alionekana akiwa mbele ya Madhabahu ya Bwana, na kutoa neno fupi la faraja na mshikamano kwa waumini waliohudhuria ibada hiyo.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!