
NAFASI Za Kazi Ifakara Health Institute
NAFASI Za Kazi Ifakara Health Institute
Taasisi ya Afya ya Ifakara (IHI) ni shirika la utafiti wa afya lenye ofisi zake Ifakara, Jijini Dar es Salaam, Ikwiriri, Bagamoyo , na Mtwara nchini Tanzania.
Taasisi hiyo hufanya utafiti unaohusiana na afya katika maeneo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na malaria na VVU/UKIMWI .
Ifakara Health Institute inatafuta watu wenye nia pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!