
Mbunge wa Buchosa anayemaliza muhula wake wa kwanza, Eric Shigongo amechukua fomu ya kuwania ubunge wa jimbo hilo kwa muhula wa pili, zoezi lililofanyika katika Ofisi za CCM Sengerema.
Shigongo amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu.
Wananchi wa Buchosa wana shauku kubwa ya kumuona Shigongo anaendelea kuwa mbunge wao kutokana na mambo makubwa aliyoyafanya ndani ya kipindi cha miaka mitano ya awali ili azidi kuipaisha Buchosa zaidi ya ilipofikia sasa kimaendeleo.
View this post on Instagram
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!