
MAGAZETI ya Leo Jumanne 10 June 2025
MAGAZETI ya Leo Jumanne 10 June 2025
Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi kuu nchini Tanzania “Almas Kasongo” amesema kuwa kikao cha leo kilikuwa ni kikao cha kupokea matakwa ya Yanga Sc ambao wamekuja na matakwa manne ikiwa ni kujiuzulu kwa Mwenyeketi wa bodi ya ligi, kujiuzulu kwa Afisa Mtendaji mkuu wa Tplb, Katibu mkuu wa Tff na kuona bodi ya ligi kuu inakuwa chombo huru.
Hivyo basi matakwa hayo yamepokewa na yatawasilishwa kwa shirikisho la soka nchini “Tff” ila kwa mamlaka ya bodi ya ligi mpaka sasa ni Mchezo upo pale pale juni 15.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!