Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Kijana Afariki Dunia: Ajinyonga Kwa Kutumia Manda Wa Suruali

  • 34
Scroll Down To Discover

Kijana mmoja mkazi wa Kijiji cha Halla, wilayani Babati, mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia mkanda wa suruali, tukio ambalo limezua masikitiko makubwa miongoni mwa familia na uongozi wa eneo hilo.

Kijana huyo, aliyefahamika kwa jina la Fransis Peter, mwenye umri wa miaka 34, anaripotiwa kuwa alikuwa na matatizo ya afya ya akili kabla ya kuchukua uamuzi huo.

Video full ipo YouTube ya Global TV

 



Prev Post Polisi Watekeleza Agizo la Kusitisha Shughuli za Kanisa la Askofu Gwajima
Next Post Exclusive: Sheikh Walid Afichua Ukweli Wa Ndoa ya Diamond Na Zuchu – Video
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook