
DAR ES SALAAM — Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya jinai inayomkabili Tundu Lissu hadi Juni 16, 2025, na kuagiza aendelee kushikiliwa rumande. Uamuzi huo umetolewa leo baada ya shauri hilo kutajwa mahakamani, ambapo upande wa Jamhuri uliomba muda zaidi wa upelelezi kukamilika.
Lissu anakabiliwa na mashtaka mbalimbali, huku kesi hiyo ikifuatiliwa kwa karibu na umma kupitia matangazo ya moja kwa moja.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!