Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 02 June 2025

  • 36
Scroll Down To Discover

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 02 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 02 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 02 June 2025

Klabu ya Pyramids FC imeandika historia baada ya kutwaa taji la Klabu Bingwa Afrika (CAFCL), msimu wa 2024/25 kwa kuifunga Mamelodi Sundowns mabao 2-1 yakifanya jumla ya magoli 3-2.

Katika mchezo huo uliochezwa kwenye dimba la June 30 nchini Misri imeshuhudiwa Pyramids ikitwaa taji lake la kwanza la CAF tangu kuanzishwa kwake mwaka 2008.

Mshambuliaji wa Kimataifa wa DR Congo, Fiston Mayele ameibuka mfungaji bora wa mashindano hayo kwa kufunga jumla ya mabao sita (6) akimpita wa Al Ahly, Emmam Ashour (5).

Kwa kutwaa taji hilo, Pryramids imeingia rasmi kwenye kundi la vigogo wa Afrika na itashiriki kwenye kombe la Dunia la Vilabu.



Prev Post Nyuma Ya Pazia Jinsi Watu Wanavyotajirika Kupitia Betting
Next Post BAADA YA KUANZA KUNG’AA UPYA …MUTALE AVUNJA UKIMYA SIMBA…ATAJA ALIYOKUWA ANAPITIA…
Related Posts
© Image Copyrights Title

MAGAZETI ya Leo Jumanne 03 June 2025

© Image Copyrights Title

MAGAZETI ya Leo Jumapili 01 June 2025

Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook