Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Askofu Mkuu Novatus Rugambwa Afariki Dunia

  • 2
Scroll Down To Discover

Aliyekuwa Balozi wa Baba Mtakatifu (Vatican) katika nchi mbalimbali duniani, Mtanzania Askofu Mkuu Novatus Rugambwa

Aliyekuwa Balozi wa Baba Mtakatifu (Vatican) katika nchi mbalimbali duniani, Mtanzania Askofu Mkuu Novatus Rugambwa, amefariki dunia usiku wa Septemba 16, 2025 huko Roma, Italia.

Hayati Askofu Mkuu Novatus Rugambwa alizaliwa Oktoba 8, 1957 mkoani Kagera. Aliwekwa wakfu katika Daraja Takatifu ya Upadre tarehe 6 Julai 1986 na Mhashamu Nestorius Timanywa, aliyekuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba. Tarehe 18 Machi 2010 aliwekwa wakfu katika Daraja Takatifu ya Uaskofu na Askofu Mkuu Tarcisio Pietro Evasio Kardinal Bertone, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Vatican.

Amehudumu kwa muda mrefu kama Balozi wa Baba Mtakatifu katika mataifa mbalimbali ikiwemo Angola, Honduras, Visiwa vya Fiji na kwingineko.



Prev Post Waandamanaji Wapinga Ziara ya Rais Donald Trump Nchini Uingereza
Next Post Makunduchi Wamkaribisha Dk. Samia Kwa Kishindo
Related Posts
© Image Copyrights Title

Mmoja Auawa Kwa Kisu Kisa Simba, Yanga

Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook