Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Mke wa Dk Nchimbi Amuombea Kura Rais Dkt. Samia, Wabunge Tanga

  • 4
Scroll Down To Discover

Mke wa Mgombea mwenza wa CCM, Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi Mama Jane Nchimbi akimuombea kura Rais Samia, wabunge Tanga, leo Jumatatu Septemba 15, 2025 katika Uwanja wa Mazoezi Mjini Korogwe, Tanga.

MamaJane Nchimbi ni mwenyeji wa Korogwe alipata fursa hiyo wakati Dk Nchimbi alipokuwa akiendelea na ziara ya kusaka kura mkoani humo.



Prev Post Mafanikio ya Mradi wa “Kichina + Stadi za Ufundi” Yanakuza Ushirikiano wa Elimu
Next Post Msafara wa Dkt. Nchimbi Wasimamishwa na Wakazi wa Mombo-Tanga
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook