Search
Sign In
2 Register
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Puitin "Tutashambulia vikosi vya kigeni vikitumwa Ukraine" Katika Dira ya Dunia TV

  • 24
Scroll Down To Discover

Rais wa Urusi Vladimir Putin ameonya kuwa wanajeshi kutoka nchi Magharibi watakaotumwa Ukraine watakuwa shabaha halali ya kushambuliwa na Urusi. Hii inakuja baada ya Ufaransa kusema washirika 26 wa nchi za Magharibi watatuma wanajeshi Ukraine kama sehemu ya dhamana za usalama iwapo makubaliano ya kusitisha mapigano yatapatikana. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw



Prev Post China na Tanzania Washirikiana Kukuza Ujuzi wa Ufundi kwa Vijana
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook