
NAFASI Za Kazi Mwananchi Communications Limited
NAFASI Za Kazi Mwananchi Communications Limited
Mwananchi Communications Ltd ni kampuni inayojihusisha na Magazeti na vyombo vya habari vya kidijitali yenye makazi yake Dar Es Salaam nchini Tanzania.
Mwananchi Communications Limited ndiye Mchapishaji wa Magazeti ya kila siku ya Tanzania, Mwananchi (kwa Kiswahili), na mengine kama vile The Citizen, Sunday Citizen, Mwananchi Jumapili, Mwananchi Scoop na Mwanaspoti.
Mwananchi Communications Limited ilianzishwa Mei 1999 na Balozi Ferdinand Ruhinda kama Media Communications Ltd, Lakini Aprili 2001, kampuni mpya ilianzishwa Mwananchi Communications Ltd.
Kampuni hiyo itafuta watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!