

Mfanyabiashara na mkandarasi kijana, Enock Zadock Koola, ashinda kwa kishindo kura za maoni Jimbo la Vunjo, kwa kupata kura 1999 Kati ya 4080 akiwabwaga wenzie watano (5) wakiongozwa na mbunge anayemaliza muda wake Dr Charles Kimei aliyepata kura 861 na kushika nafasi ya pili.
Historia imejirudia kwa mara nyingine ambapo 2020 alipita kura za maoni na hatimae 2025 sauti za Wanavunjo zimesikika!
Ushindi huu unaashiria mwanzo wa zama mpya za maendeleo kwa wana Vunjo. Hakika, historia imeandikwa kwa kishindo!
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!