Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirika la Fedha na ujenzi la Korea (Korea Infrastructure Finance Corporation)(K-FINCO) Dkt. Eun-Jae Lee aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 26 Julai, 2025.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!