Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Jeshi la Polisi Mara Lamshikilia Mwanaume kwa Kumuua Mama Mkwe

  • 40
Scroll Down To Discover

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Jumanne Mabodo (30) kwa tuhuma za kumuua mama mkwe wake Kabula Masanja (50) kwa kumkata kwa panga nyumbani kwa marehemu, kijiji cha Chumwi, Wilaya ya Musoma, Julai 19, 2025.

Binti wa marehemu, ambaye ni mke wa mtuhumiwa, alijeruhiwa na anaendelea na matibabu.

Chanzo ni mgogoro wa kifamilia baada ya mke wa mtuhumiwa kudai kuwa mumewe ni mwizi.



Prev Post PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JULAI 23, 2025
Next Post Majaliwa Akutana Na Waziri Mkuu Wa Belarus, Wasaini Makubaliano Muhimu Ya Ushirikiano
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook