Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

Cheza Aviator, Shinda Simu ya Kisasa Kila Jumatatu – Ofa Kabambe kutoka Meridianbet!

  • 42
Scroll Down To Discover

Kwa wale wote wenye mapenzi ya dhati na michezo ya kasino mtandaoni na kwa wale ambao hawakuwahi kushiriki michezo hii kabla, mchongo pekee wa kukufanya uufurahie mwezi huu ni kwa kuwa rubani wa maisha yako kupitia ndege ya Aviator kutoka Meridianbet.

Kuanzia Julai 01 mpaka mwezi unaisha, kutakuwa na Promosheni kabambekwa wachezaji wa Aviator kutoka Meridianbet kasino mtandaoni. Watu 08 wenye bahati watazawadiwa simu za kisasa aina ya Samsung A25 ambazo zitakua zikitoka mbilimbili kwa kila Jumatatu ya wiki, yaani mara paah Jumatatu inafika na wewe unaibuka kinara wa simu hii ya gharama.

Aviator ni moja kati ya michezo ya kasino mtandaoni  ambayo ni rahisi sana kucheza na unaeleweka kwa urahisi sana kwani unachofanya ni kurusha kindege tu kisha pesa inaanza kuingia na kurahisisha mambo zaidi, Meridianbet wamekupa nafasi ya kucheza kwa dau lolote lile.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Njia ya ushindi kwenye mchezo huu ni kuwa makini tu na kukusanya pointi (odds) kisha toa pesa yako kabla ya ndege kudondoka. Hii ni burudani kubwa sana na huipati mahali kwingine zaidi ya Meridianbet kasino mtandaoni.

Ili kushiriki mchezo huu pendwa na kuwa sehemu ya washindi wa simu hizi ghari kutoka Samsung, basi unapaswa kujisajili kwa kufungua akaunti aidha kupitia tovuti au kwa kupakua application ya meridianbet. Huu ni mchezo unaobebwa na bahati hivyo cheza mara nyingi ili kujitengenezea nafasi kubwa zaidi ya kuondoka na ushindi huu mnono kutoka meridianbet.

Jisajili sasa meridianbet, cheza mara nyingi mchezo huu wa aviator na uianze safari ya ushindi mkubwa wa simu pamoja na kitita kikubwa cha pesa kulingana na dau lako pamoja na uchezaji wako.

 

 

 

 

 



Prev Post Kesi ya Mgogoro wa Rasilimali CHADEMA Yasitishwa, Hatima ya Jaji Mwanga Kusubiriwa – Video
Next Post Prof. Nombo: Mafunzo Ya ADEM Ni Msingi Wa Elimu Bora Nchini
Related Posts
Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook