Kampuni namba moja ya ubashiri nchini Tanzania, Meridianbet, inawakaribisha wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni kwenye Lucky Rush Tournament, mchezo wa kipekee ambapo jumla ya TZS bilioni 1.5 zinagawiwa kwa washindi. Kuanzia tarehe 27 Juni hadi 3 Agosti 2025, kutakua na mashindano ya leaderboard matano na yatatoa fursa ya kushinda kwa wachezaji wote.
Kila mzunguko wa mashindano una zawadi ya TZS milioni 300 ambayo itasambazwa kwa washindi 5,000, na hakuna masharti magumu ya kujipatia ushindi huku zawadi zote zikitolewa kwa mfumo wa pesa taslimu ambazo unaweza kutoa mara moja. Hii ni kwa ajili ya kuhakikisha wana meridianbet hawapati usumbufu kwenye kupokea fedha zao.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Ili kushiriki, wachezaji wanapaswa kuwa na akaunti hai za meridianbet na wahakikishe wanajiandikisha (opt-in) kwenye kila leaderboard na kuanza kucheza moja kwa moja michezo maarufu ya Playtech kama vile Age of the Gods, Fire Blaze, na Cash Collect. Pointi hutolewa kulingana na uwiano wa ushindi dhidi ya dau, na spins bora 25 kutoka kwa spins 5,000 za mwanzo ndizo zitakazoamua washindi.
Endapo itatokea kukawa na wachezaji wenye sare ya pointi, mchezaji mwenye spins nyingi zaidi atakua ndiye mshindi, na ikitokea bado kuna sare ya spins basi yule aliyepata pointi mapema ndiye atakayepewa kipaumbele.
Hii ni nafasi ya kipekee ya kushinda kiwango kikubwa cha pesa bila kujali kiwango cha dau lako. Tembelea Meridianbet leo, jisajili, jiunge kwenye mashindano, na uwe miongoni mwa wenye bahati kushinda sehemu ya zawadi hizi kubwa za msimu huu.
The post TZS BILIONI 1.5 ZIPO MEZANI, JIUNGE NA LUCKY RUSH TOURNAMENT YA MERIDIANBET LEO appeared first on Soka La Bongo.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!