

Klabu ya Yanga SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Derby ya Kariakoo uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.
Kwa ushindi huo, Yanga SC anatwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mara ya 31 katika historia yake, ikiwa ni kwa msimu wa 2024/2025.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!