Search
Sign In
2Your Cart
Your Cart 2 items
Subtotal : $1559

MAGAZETI ya Leo Jumatano 18 June 2025

  • 25
Scroll Down To Discover

MAGAZETI ya Leo Jumatano 18 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 18 June 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 18 June 2025

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura amefanya uhamisho wa Makamanda watatu akiwemo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, George Katabazi.

Taarifa ya uhamisho huo imetolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime ikiwa ni siku 302 tangu Katabazi alipoteuliwa rasmi kukalia kiti hicho, Agosti 19 mwaka jana.

Katabazi anatolewa kuwa kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma na kupelekwa ofisi ya makao Makuu ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai Dodoma.

Nafasi yake imechukuliwa na Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Galus Hyera ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi Kikosi cha Reli.

Mbali na kuhamishwa kwa Katabazi, pia Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Matride Kuyeto amehamishwa kutoka kuwa mkuu wa Polisi Wilaya ya Kinondoni kwenda kuwa Kamanda wa Polisi Kikosi cha Reli.

“Uhamisho huo ni mabadiliko ya kawaida yanayofanyika ndani ya Jeshi la Polisi katika kuongeza ufanisi wa utendaji kazi,” imeeleza ya taarifa hiyo.



Prev Post Kamenge Atimiza Ahadi Yake Kwa Kanisa La KKKT Bwanjai
Related Posts
© Image Copyrights Title

MAGAZETI ya Leo Jumanne 17 June 2025

© Image Copyrights Title

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 16 June 2025

Comments 0

    Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!

Leave A Comment
or

For faster login or register use your social account.

Connect with Facebook