
Watu 28 wamefariki dunia katika ajali mbaya iliyotokea usiku wa kuamkia leo Juni 8, 2025 katika eneo la Mlima Iwambi mkoani Mbeya. katika eneo la Mlima Iwambi mkoani Mbeya.
Jeshi la Polisi limethibitisha idadi hiyo ya vifo ambapo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya ameelezea jinsi ajali hiyo ilivyotokea.
Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kuandika maoni!